News

Tangazo la nafasi za ajira kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limezua mvutano bungeni ikitajwa kuwa chombo ...
Uhusiano baina ya askari polisi na raia umezidi kutia hofu kutokana na kile kinachoendelea katika mitandao ya kijamii, ikiwa ...
Jeshi la Polisi Nchini limesema linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walim ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, linamshikilia Samwel Emmanuel maarufu Nzaliya (20) mkazi wa kijiji cha Nata Wilaya ya Serengeti ...
Jeshi la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili "kuimarisha na kupanua" operesheni zake huko Gaza.
Kapteni Ibrahim Traoré mara kwa mara ameeleza wasiwasi wake kuhusu juhudi za mataifa ya kigeni kuingilia mambo ya ndani ya ...
Katika hafla hiyo, wimbo wa Taifa la Tanzania uliimbwa pamoja na wa Msumbiji. Akiwa Zanzibar, Rais Chapo amesema nchi yake ...
IRINGA: Tukio la kusikitisha na kutisha lililotokea hivi karibuni mjini Iringa, ambapo mwanaume anadaiwa kumuua na ...
Shambulio hilo lilifuata tamko la hadhara kutoka kwa msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini (SSPDF) Ijumaa ya tarehe 2 Mei 2025, akiagiza hatua ya kisasi ya kijeshi ikiwa meli ...
Jeshi la Pakistan limetangaza Jumatatu, Mei 5, kwamba limefanya jaribio la kombora, la pili katika siku mbili, huku kukiwa na mvutano mkali na nchi jirani ya India. "Pakistani leo imefanya jaribio ...
Jeshi la Israel linasema lilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa yanayohusiana na waasi wa Houthi nchini Yemen Mei 5, siku moja baada ya waasi hao kurusha kombora kuelekea uwanja ...
Makombora ya India na urushianaji risasi vimesababisha vifo vya raia 26 na kuwajeruhi wengine 46, kulingana na jeshi la Pakistani, ambalo limeongeza kuwa bwawa la kuzalisha umeme huko Kashmir ...