News

Tangazo la nafasi za ajira kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limezua mvutano bungeni ikitajwa kuwa chombo ...
Taswira ya Jeshi la Polisi kwa wananchi si nzuri na hili lilisemwa katika ripoti ya Tume ya Haki Jinai kuwa kumekuwapo ...
Wazazi na walezi hapa nchini wametakiwa kuona umuhimu wa kuwasimamia kwa karibu watoto wao wanaosoma katika shule za msingi ...
Jeshi la Polisi Nchini limesema linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walim ...
Takriban watu saba wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya hospitali na soko nchini Sudani Kusini siku ya ...
Shirika hilo la kutetea haki za binadamu linataka Idara ya Polisi na Jeshi la Ulinzi la Kenya kueleza hadharani hatua ...
Jeshi la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili "kuimarisha na kupanua" operesheni zake huko Gaza.
DODOMA: Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa ...
Katika hafla hiyo, wimbo wa Taifa la Tanzania uliimbwa pamoja na wa Msumbiji. Akiwa Zanzibar, Rais Chapo amesema nchi yake ...
SAA chache kabla ya Yanga kuvaana na JKU kesho Alhamisi katika pambano la fainali ya Kombe la Muungano, amishna Mwandamizi wa ...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Sudan Kusini UNMISS. umesema una wasiwasi mkubwa kutokana na taarifa za mapigano kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini SSPDF, na Jeshi la ...