News

Historia ya mapapa wa mwanzo ni chanzo cha mjadala mkubwa wa kitaaluma, na haijulikani ni wangapi walikuwa, kama Mtakatifu ...
Wakati wa mkutano siku ya Alhamisi jioni, Mkurugenzi wa idara ya Habari Vatican Matteo Bruni, pia ameeleza kuwa papa mpya amechagua jina lake kwa kurejelea "wanaume, kwa wanawake, kwa kazi zao ...
Mahakama jijini Abidjan mwezi uliopita, iliondoa jina la Tidjane Thiam, 62 kutoka kwenye orodha ya wapiga kura kwa madai kwamba mwanasiasa huyo alipoteza uraia wake wakati alipopata uraia wa ...
Kwa pamoja na Marekani, viongozi hao wametoa pendekezo kwa Moscow "kusitisha mapigano kikamilifu na bila masharti ardhini na angani na baharini kwa angalau siku 30 kuanzia Jumatatu." Ziara hii ya ...
Makala ya changu chako chako changu inaangazia kuhusu uteuzi wa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, ambapo RFI Kiswahili imezungumza na askofu Sebastian Muyengo wa dayosisi ya Uvira mkoani Kivu ...
At a conclave with many new members, a swift, stunning consensus built around an unknown to many outside of the church.
Makubaliano haya ya nchi mbili yalihitimishwa chini ya Kifungu cha 6 cha Mkataba wa Paris. Taratibu za makubaliano haya, ambayo yanalenga kuunda masoko mapya ya kaboni, ama kupitia mfumo wa kati ...
"Tutakufahamisha kuhusu maendeleo katika hali hiyo kwa wakati ufaao," amebainisha. Hali hii inajiri siku chache baada ya AFC/M23 kuudhibiti mji wa Luhwindja. Kufikia sasa, viongozi wa kundi hilo ...
Vita vya kibiashara kati ya Marekani na China vinaweza kuisha, huku mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani yakianza mazungumzo nchini Switzerland. Maafisa wakuu wa biashara kutoka pande ...
The White House driveway is an unlikely venue for announcing plans to upend the Constitution. But, strolling up to the bank of microphones on a sunny spring afternoon, the White House deputy chief ...
Permanent deacons who minister in the Diocese of Rochester and elsewhere are celebrating milestone anniversaries of ...
Mchungaji Kennedy Kisanga, katika ibada ya mazishi amesema kifo ni fumbo na kila mtu ana namna yake ya kuondoka duniani, hivyo kila mmoja akae karibu na Mungu wakati wote kwa kutenda yaliyo mema.