Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika Jan ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa wito kwa vikosi vya waasi wa M23 vinavyotajwa kuungwa mkono na ...
POLISI Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Koplo Emmanuel Kisiri, ametunukiwa cheo cha Sajenti, kutokana na ...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amekabidhi mguu bandia uliogharimu Sh. milioni 2.5 kwa Jackson Mwakalinga (75), mkazi ...
Shirika la Marekani la Misaada ya Kimataifa (USAID) limejiondoa rasmi kwenye mitandao ya kijamii na kufunga tovuti yake, ...
WATOTO wawili, miaka 16 na 12, wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, baada ya kudaiwa kutoa taarifa za ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limemtangaza Dk. Chikwe Ihekweazu kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likibainisha kuwa Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unafuat ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, ameongoza zoezi la kuopoa miili ya wachimbaji wawili kati ya watatu waliokuwa ...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) national chairperson, President Samia Suluhu Hassan and the party’s presidential candidates for the ...
LICHA ya kulipia huduma, maelfu ya abiria wanaotumia Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, mkoani Dar es Salaam, wako hatarini ...
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema takribani watu 900 wameuawa na wengine 2,900 kujeruhiwa kutokana na mapigano ...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Ushetu, mkoani Shinyanga, limepitisha makadirio ya bajeti ya Shilingi bilioni 41.2 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, huku likiwahimiza wakulima wa mazao ya biashara ku ...