Barcelona ipo kwenye hatari ya kupokwa pointi baada ya sasa kufanyiwa uchunguzi juu ya kucheza mchezaji asiyestahili kwenye ...
Kama alivyosema Kocha wa Simba, Fadlu Davids kwamba watahakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Masry hukohuko Misri, ndicho walichoamua kukifanya mabosi wa timu hiyo kwa kukiweka kikosi ...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zenye dhamana nchini kuharakisha maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi ...
Mtoto anayepata elimu ya kifedha akiwa wadogo huwa na uelewa mzuri wa jinsi ya kutumia pesa kwa busara, kuweka akiba, na ...
Kufuatia hitilafu ya bomba la maji katika Barabara Kuu ya Moshi – Arusha, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Muwsa) ...
Vyama vya ushirika mkoani Shinyanga vimetakiwa kujikita katika mifumo ya uwekezaji wa kidigitali na kujiendesha kibiashara ...
Miongoni mwa makosa yanayofanywa na wenza kwenye ndoa, ni kutumia muda wanaopaswa kuwa pamoja kwa mambo mengine ya binafsi.
Uchunguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro umebaini kwamba chanzo cha moto ulioteketeza vibanda vya ...
Wakati nakua ilikuwa kawaida kusikia watu wazima wakiazimana nguo, viatu na hata mapambo kwa maana ya hereni, cheni, pete na makorokoro mengine.
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 iliyotolewa na Jeshi la Polisi Tanzania, inaonyesha katika ...
Kisha tunazungumza kwa kirefu namna maneno tunayowaambia watoto yanavyoweza kuathiri hisia zao. Badala ya kuwarekebisha ...
Wanaume tunapaswa kukumbuka kwamba uanaume haupimwi kwa uwezo wa kuwezesha sherehe za siku moja, bali kwa jitihada zetu za ...